Showing on this page : 6
Filter
Categories
Show more

Price

Level

Language

Ratings
  • BARUA PEPE ZA GMAIL. DONE Admin
    UTANGULIZI: Kampuni ya DONE inakuletea mafunzo yenye lengo la kuboresha utendaji wako katika biashara na kazi. Katika kozi hii kila mmoja wetu atapata ufahamu mkubwa sana wa kutumia barua pepe. Barua pepe ni kiunganishi muhimu sana kati ya mtu na mtu katika mtandao. Barua pepe hutumika katika kutuma tarifa za kawaida kama matangazo ya kibiashara na taarifa za kirafiki na hata taarifa muhimu sana kama ripoti mbali mbali kutoka kwa mtunzi kwenda kwa mlaji.
    16 Lessons 02:00:47 Hours Swahili Beginner

    Compare this course

    TSH 5000
    5
    2 Ratings
  • Program Tumizi ya MS-PowerPoint 2019 Frederick Msangi
    UTANGULIZI: Mikutano na miadhara imekuwa sehemu kubwa sana ya biashara. Matumizi ya kompyuta yameongezeka sana mashuleni. Ujuzi wa namna ya kuonesha maudhui mbali mbali mbele ya mikusanyiko mikubwa unakuwa siku hadi siku. Programu Tumizi ya MS-Power Point 2019 ni programu maalumu kwa kuandalia onesho (Presentation) kwa hadhira. Kwa kusoma kozi hii utapata ujizi wa kutengeneza wasilisho lako lililobora sana na lakuvutia hadhira.
    44 Lessons 05:43:12 Hours Swahili Beginner

    Compare this course

    Free
    3
    1 Ratings
  • MAFUNZO YA NAMNA YA KUTENGENEZA NA KUTUMIA BLOGU (CREATION AND APPLICATION OF BLOG) Mr. Francis Chebby
    Kozi hii inalenga kumuelimisha mfuatiliaji (mwanafunzi) namna ya kutengeneza na kutumia blogu. Katika dunia hii yenye kasi kubwa ya ukuaji wa teknolojia ya habari na mawasiliano, kuna umuhimu mkubwa sana wa mtu yeyote kujua namna ya kufanya biashara zake na kutangaza zaidi kwa njia ya mtandao yaani Digital Marketing. Hivyo basi moja ya njia hizo ni pamoja na kutengeneza blogu ya bure kabisa na kuanza kuitumia kwa manufaa yako.
    14 Lessons 00:55:39 Hours Swahili Beginner

    Compare this course

    TSH 10000 TSH 15000
    0
    0 Ratings
  • Programu Tumizi ya Ms-word 2019 (Ms-Word 2019) Frederick Msangi
    Programu Tumizi ya Ms-Word 2019 ni programu ya kukusaidia kuandika vitabu, ripoti, barua na machapisho mbalimbali. Programu hii pia inakuwezasha kuhifandi kumbukumbu mbali mbali ikiwemo mipango ya kibiashara.
    68 Lessons 07:46:10 Hours Swahili Beginner

    Compare this course

    Free
    0
    0 Ratings
  • Biashara ya Sabuni (Home made soup) Trifonia Shirima
    Haya ni mafunzo ya kutengeneza aina mbali mbali za sabuni majumbani. Pia mafunzo haya yanaelekeza biashara nzima ya sabuni na faida yake. Mhitimu atakuwa na uwezo wakujiajiri kwa kuanzisha biashara ndogo ya sabuni.
    30 Lessons 02:04:23 Hours English Intermediate

    Compare this course

    TSH 15000
    4
    2 Ratings
  • Program Tumizi ya MS-Excel 2019 Frederick Msangi
    Utunzaji wa takimwi katika biashara na maisha ya kawaida ndio msingi mkubwa wa mafanikio. Kutunza takimwi kwa njia za karatasi na kuzichakata kwa njia ya mkono hutumia muda mwingi na huenda ikaleta gharama kubwa sana katika Tasisi ama kwa mtu binafsi. Programu Tumizi ya MS-EXCEL 2019 ni maalumu katika uchakataji wa takwimu ili kuzituza ama kutupatia taarifa muhimu kwa ajili ya biashara, tasisi ama mtu binafsi. Katika kozi hii tutajifunza namna ya kutumia excel katika matumizi ya msingi na pia matumizi makubwa ama endelevu. Malengo yetu ni kumuezesha mshiriki arahisishe kazi ya kutunza na kuchakata takwimu ili kupata taarifa muhumu za maisha yake ama Tasisi anayo isimamia
    39 Lessons 06:41:08 Hours Swahili Intermediate

    Compare this course

    Free
    2
    1 Ratings