Utunzaji wa takimwi katika biashara na maisha ya kawaida ndio msingi mkubwa wa mafanikio. Kutunza takimwi kwa njia za karatasi na kuzichakata kwa njia ya mkono hutumia muda mwingi na huenda ikaleta gharama kubwa sana katika Tasisi ama kwa mtu binafsi. Programu Tumizi ya MS-EXCEL 2019 ni maalumu katika uchakataji wa takwimu ili kuzituza ama kutupatia taarifa muhimu kwa ajili ya biashara, tasisi ama mtu binafsi. Katika kozi hii tutajifunza namna ya kutumia excel katika matumizi ya msingi na pia matumizi makubwa ama endelevu. Malengo yetu ni kumuezesha mshiriki arahisishe kazi ya kutunza na kuchakata takwimu ili kupata taarifa muhumu za maisha yake ama Tasisi anayo isimamia
Habari:
Mimi ni Mwl Frederick Julius Msangi, ni Madhiri Msadizi chuo Kikuu cha Dodoma na nina udhoefu wa kufundisha katika ngazi hii ya Elimu kwa zaidi ya miaka kumi. Nimebobea katika Maswala ya Elimu ya aulimu, ufundishaji, ujifunzaji na saikolojia. Kwa sehemu, kwa zaidi ya mika nane sasa nimeshiriki katika kufundisha ya elimu ya awali ya TEHEMA (ICT Proficiency Course) kwa wanafunzi wa chuo na washiriki mbali mbali kutoka nje ya chuo.
Nikukaribishe sana katika kujifunza mtandaoni. Mafunzo haya yanatolewa na wabobezi katika maeneo mbali mbali. Niwakaribishe sana katika mafunzo haya, gharama yake ni ndogo sana ukilinganisha na ubora wa mafunzo. Tutakuwa tayari kurejesha fedha kwa ambaye hataridhika na ubora aliyotegemea katika mfunzo haya kama atatoa taarifa hiyo mapema. Piga simu +255655637188 kwa maelezo zaidi. Karibu sana DONE Co LTD.
Write a public review