Frederick Msangi

Show full biography

Habari:

         Mimi ni Mwl Frederick Julius Msangi, ni Madhiri Msadizi chuo Kikuu cha Dodoma na nina udhoefu wa kufundisha katika ngazi hii ya Elimu kwa zaidi ya miaka kumi.  Nimebobea katika Maswala ya Elimu ya aulimu, ufundishaji, ujifunzaji na saikolojia.  Kwa sehemu, kwa zaidi ya mika nane sasa nimeshiriki katika kufundisha ya elimu ya awali ya TEHEMA (ICT Proficiency Course) kwa wanafunzi wa chuo na washiriki mbali mbali kutoka nje ya chuo.


       Nikukaribishe sana katika kujifunza mtandaoni. Mafunzo haya yanatolewa na wabobezi katika maeneo mbali mbali. Niwakaribishe sana katika mafunzo haya, gharama yake ni ndogo sana ukilinganisha na ubora wa mafunzo. Tutakuwa tayari kurejesha fedha kwa ambaye hataridhika na ubora aliyotegemea katika mfunzo haya kama atatoa taarifa hiyo mapema. Piga simu +255655637188 kwa maelezo zaidi. Karibu sana DONE Co LTD. 


 

  • Total student
    25
  • Courses
    3
  • Reviews
    2