MALENGO
- Kuwawezesha washiriki kutumia
barua pepe kwenye kazi au biashara zao.
- Kuongeza mauzo na ufanisi
katika biashara, kazi na kwenye shughuli zinginezo.
- Kuongeza ubora wa barua pepe zainazotengenezwa
na washiriki.
- Kumuezesha mshiriki kutumia
huduma zinazotolewa na Barua pepe za Gmail kama
- Kifadhi Kumbukumbu (Google
Drive & Dropbox )
- Shule Mtandao (Google
Classroom)
- Masoko kwa njia ya Barua Pepe
(E-mail Marketing)
- Mikutano mtandao (Google Meet)
- Kutumia programu tumizi za Barua
Pepe(e.g. Google Docs)
- Kuwezesha mteja kuwa na
mpangilio wa barua pepe utakaomuzesha kuendesha kampuni, shule ama biashara
kirahisi zaidi.
Walengwa:
- Walimu na wamiliki wa shule
kurahisisha mawasiliano kati yao na wazazi
- Wafanya biashara na wamiliki wa
makampuni katika kuwasiliana kiabiashara na wateja.
- Wanafunzi wa chuo kikuu kwajili
ya kuwasiliana na walimu na kujaza fomu za mtandaon kama fomu za mikopo na
kazalika.
- Wanafunzi wa sekondari kama
wanafunzi tarajali wa vyuo vikuu.
- Wazazi na walezi kwajili ya
kutumia kuangalia ama kulizia maendeleo ya wanafunzi wao.
- Wafanyakazi wote wa serikali ili
kuweza kujiandaa ama kutumia vizuri
serikali mtandao.
- Wakulima wakubwa na wadogo
kwajili yakutafuta masoko kwa barua pepe.
Yaliomo
Utangulizi
(Introduction)
- Kutengeneza barua pepe(Signing
Up),
- kusoma barua pepe(Reading Email),
- kutunga barua pepe(Compose Email),
- kujibu barua pepe(Reply and reply to all),
- kuunda muonekano wa barua
pepe(Formatting Email), k
- usambaza barua pepe(forwarding Email) kupatanisha
viambatanisho vya barua pepe(E-mail attachments),
Utuzaji ama Umiliki wa
barua pepe(Email Management Skill).
- Kufuta, kuarisha, kuweka
hajasoma, kutunza kwenye kumbukumbu (Delete, snooze, make it to unread, send to
spam mails etc).
- Badilisha muonekano wa kikasha
msingi(Changing type of Inbox)
- Tengeneza vikasha mbali mbali
(Creating labels)
- Tenganisha barua pepe kulingana
na maudhui (Email filters )
- Kutumia barua ya kuwajibu
wateja yenyewe(Automatic responder )
- Kuweka sahihi yako katika barua
pepe zako (Email signature)
Huduma zinazoambatana na
barua pepe ya google ( Google workspace)
- Kufuatilia barua pepe (E-mail
tracker )
- Kuhifadhio cha mafaili (Google
drive)
- Programu za google (Good docs)
- Kuandika maneno (Voice to text
service)
Write a public review