MAFUNZO YA NAMNA YA KUTENGENEZA NA KUTUMIA BLOGU (CREATION AND APPLICATION OF BLOG)

Kozi hii inalenga kumuelimisha mfuatiliaji (mwanafunzi) namna ya kutengeneza na kutumia blogu. Katika dunia hii yenye kasi kubwa ya ukuaji wa teknolojia ya habari na mawasiliano, kuna umuhimu mkubwa sana wa mtu yeyote kujua namna ya kufanya biashara zake na kutangaza zaidi kwa njia ya mtandao yaani Digital Marketing. Hivyo basi moja ya njia hizo ni pamoja na kutengeneza blogu ya bure kabisa na kuanza kuitumia kwa manufaa yako.

Beginner 0(0 Ratings) 3 Students enrolled
Created by Mr. Francis Chebby Last updated Thu, 20-Oct-2022 Swahili
What will i learn?
  • Baada ya kozi hii mhusika atakuwa na uwezo wa kufanya mambo yafuatayo: Atakuwa na uwezo wa kutengeneza na kuhariri blogu yake kwa viwango na ubora wa juu na hivyo kuitumia ipasavyo katika kujiingizia kipato kwa namna tofauti tofauti.

Curriculum for this course
14 Lessons 00:55:39 Hours
Utangulizi wa namna ya kutengeneza blogu (Introduction on the first phase of blog creation)
3 Lessons 00:15:01 Hours
  • Utangulizi (Introduction). 00:06:26
  • Fahamu sehemu muhimu za blogu - Sehemu ya 1 - ( Understanding the main sections ( working parts ) of blog - Part 1 ). 00:04:03
  • Fahamu sehemu muhimu za blogu - Sehemu ya 2 ( Understanding the main sections ( working parts ) of blog - Part 2 ). 00:04:32
  • Namna ya kuhariri muonekano na mipangilio ya blogu - Sehemu ya 1 ( Doing with simple blog settings and editing the appearance of blog - Part 1. 00:03:42
  • Namna ya kuhariri muonekano na mipangilio ya blogu - Sehemu ya 1 ( Doing with simple blog settings and editing the appearance of blog - Part 2. 00:05:31
  • Namna ya kuhariri muonekano na mipangilio ya blogu - Sehemu ya 3 ( Doing with simple blog settings and editing the appearance of blog - Part 3 ). 00:06:50
  • Namna ya kuhariri muonekano na mipangilio ya blogu - Sehemu ya 4 ( Doing with simple blog settings and editing the appearance of blog - Part 4 ). 00:01:55
  • Kuondoa/ Kuhariri mipangilio chaguo-msingi ya maelezo tambulishi katika blogu ( Removing/ editing default attributions in blog ). 00:03:20
  • Kuongeza vitufe shirikishi vya mitandao ya kijamii katika blogu - Sehemu ya 1_a ( Adding social network share buttons in blog - Part 1_a). 00:03:27
  • Kuongeza vitufe shirikishi vya mitandao ya kijamii katika blogu - Sehemu ya 1_b ( Adding social network share buttons in blog - Part 1_b ). 00:04:03
  • Kuongeza vitufe shirikishi vya mitandao ya kijamii katika blogu - Sehemu ya 2 ( Adding social network share buttons in blog - Part 2 ). 00:02:08
  • Jinsi ya kuandika na kuchapisha maudhui yako kwa mara ya kwanza katika blogu - Sehemu 1 (Preparation and publication of the blog' content for the first time - Part 1) 00:03:10
  • Jinsi ya kuandika na kuchapisha maudhui yako kwa mara ya kwanza katika blogu - Sehemu 2 (Preparation and publication of the blog' content for the first time - Part 2) 00:04:54
  • Hitimisho 00:01:38
Requirements
  • Kompyuta ya aina yeyote (Any computer version); Akaunti ya google mail (GMAIL Account); Mtandao (Network connection)
+ View more
Description
+ View more
Other related courses
02:00:47 Hours
Updated Thu, 18-Aug-2022
5 6 TSH 5000
About the instructor
  • 0 Reviews
  • 4 Students
  • 2 Courses
+ View more

Habari:

Naitwa Francis Chebby, ni mmoja kati ya wawezeshaji katika kampuni ya D.O.N.E Co LTD.


Taaluma: Ni mhitimu wa shahada ya awali ya ualimu katika masomo ya sayansi na teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) kutoka chuo kikuu cha Dodoma (UDOM). Lakini pia, ni mhitimu wa digrii ya uzamili katika mambo ya uhifadhi wa bioanuwai (viumbe hai na mazingira) kutoka chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).


Uzoefu: Mbali na kuhusika katika uwezeshaji na usimamizi wa shughuli mbalimbali za kitaaluma ndani na nje ya chuo kikuu cha Dodoma, kwa sehemu nimekuwa mmoja kati ya wafundishaji wa mafunzo ya awali ya TEHAMA (ICT Proficiency Course) kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma nawashiriki mbali mbali kutoka nje ya chuo kwa zaidi ya miaka 3. Uzoefu huu umekuwa nguzo na muhimili mkubwa katika kukuza uwezo na kuboresha namna ya kuandaa mafunzo mbalimbali kwa njia rahisi, ubora mkubwa na kueleweka mno kwa mfuatiliaji husika.


Maoni yangu: Katika kipindi ambacho TEHAMA ina umuhimu mkubwa sana katika masuala ya kijamii hasa kukuza kipato, ni jukumu letu kuhakikisha atupitwi na fursa mbali mbali zenye uhitaji wa teknolojia hii. Kwa kulitambua hilo, sisi kama wawezeshaji wenye taaluma stahiki kutoka kampuni ya D.O.N.E co LTD, tunayofuraha kuwafungulia ulimwengu wa kutumia TEHAMA kukuletea mafunzo mbali mbali yahusuyo elimu, michezo, ujasiriamali, afya ya mwili na akili, ubunifu na mambo mengine mengi kwa njia rahisi na masharti nafuu sana. Huu ndio wakati sahihi. Tumia fursa.


Mawasiliano:

D.O.N.E Coordinator: +255 655 637 188                                                       

Mawasiliano yangu: +255 769 535 944

                  

Student feedback
0
Average rating
  • 0%
  • 0%
  • 0%
  • 0%
  • 0%
Reviews
TSH 10000 TSH 15000
Buy now
Includes:
  • 00:55:39 Hours On demand videos
  • 14 Lessons
  • Access on mobile and tv
  • Full lifetime access
  • Compare this course with other