Biashara ya Sabuni (Home made soup)

Haya ni mafunzo ya kutengeneza aina mbali mbali za sabuni majumbani. Pia mafunzo haya yanaelekeza biashara nzima ya sabuni na faida yake. Mhitimu atakuwa na uwezo wakujiajiri kwa kuanzisha biashara ndogo ya sabuni.

Intermediate 4(2 Ratings) 1 Students enrolled
Created by Trifonia Shirima Last updated Mon, 17-Oct-2022 English
What will i learn?
  • Kuwaelekeza washiriki namna salama ya kuvuaa kabla ya kutengeneza sabuni.
  • Kuwawezesha washiriki kutambua mahitaji yote muhimu kwa kila aina ya sabuni wanayotaka kutengeneza.
  • Kuwawezesha washiriki kutengeneza sabuni kwa kuwaonesha kwa vitendo utengenezaji wa sabuni mbali mbali.
  • Kuwawezesha washiriki kutambua budget inayohitajika kwa kila sabuni na kwa biashara nzima.
  • Kuwawezesha wanafunzi kuweka sabuni katika vifungashio ili kuuza.
  • Kuonesha matumizi mbali mbali ya sabuni kwa vitendo.

Curriculum for this course
30 Lessons 02:04:23 Hours
Sabuni za aina zote (Utangulizi)
2 Lessons 00:06:04 Hours
  • Utangulizi: Biashara ya Sabuni (Introduction) 00:01:38
  • Matumizi ya aina tofauti za sabuni 00:04:26
  • SOMO 01 Sabuni ya Maji (Multipurpose Soap) 00:06:07
  • SOMO 02 Sabuni ya Maji (Multipurpose Soap) 00:13:44
  • Bajeti ya Sabuni ya Maji (Multipurpose soup ). 00:02:03
  • Bajeti ya Sabuni ya Maji (Multipurpose soup ) katika Excel.
  • Mahitaji ya Sabuni ya Maji (Multipurpose Soap)
  • Matumizi ya sabuni ya maji: Kudekia 00:02:35
  • SOMO 01 Sabuni ya Vigae (Tiles & Sink Cleaner) 00:09:25
  • SOMO 02 Sabuni ya Vigae (Tiles & Sink Cleaner) 00:16:48
  • Bajeti ya Sabuni ya Vigae (Tiles & Sink Cleaner) 00:02:35
  • Bajeti ya Sabuni ya Vigae (Tiles & Sink Cleaner) katika Excel
  • Mahitaji ya Sabuni ya Vigae (Tiles & Sink Cleaner)
  • Dawa ya kusafishia sink (Sink cleaner): Matumizi 00:05:05
  • SOMO 01 Sabuni ya Vioo (Glass cleaner) 00:05:40
  • SOMO 02 Sabuni ya Vioo (Glass cleaner) 00:04:32
  • Bajeti ya Sabuni ya Vioo (Glass cleaner) katika Excel
  • Mahitaji ya Sabuni ya Vioo (Glass cleaner)
  • SOMO 01 Sabuni ya Kuandoa Madoa (Bleach) 00:07:00
  • SOMO 02 Sabuni ya Kuondolea Madoa (Bleach) 00:05:35
  • Bajeti Sabuni ya Kuandoa Madoa (Bleach) 00:03:13
  • Bajeti Sabuni ya Kuandoa Madoa (Bleach) katika Excel
  • Mahitaji ya Dawa ya Kuondoa Madoa (Bleach )
  • SOMO 01 Sabuni ya Masofa (Sofa and Seat Cover Cleaner) 00:07:15
  • SOMO 02 Sabuni ya Masofa (Sofa and Seat Cover Cleaner) 00:13:42
  • Bajeti ya Sabuni ya Masofa (Sofa and Seat Cover Cleaner) 00:04:39
  • Bajeti ya Sabuni ya Masofa (Sofa and Seat Cover Cleaner) katika Excel
  • Mahitaji ya Sabuni ya Masofa (Sofa and Seat Cover Cleaner)
  • Ubora wa sabuni: Upimaji ( Ph Scale ) 00:03:09
  • Uwekaji wa alama za kibiashara (Branding) 00:05:12
Requirements
  • Awe anajua kusoma na kuandika
  • Awe na umri zaidi ya miaka 18
  • Asiwe mjamzito ama asiwe ananyonyesha
+ View more
Description

UTANGULIZI:

Mahitaji ya ujuzi mbali mbali unaweza kutoa ajira kwa jamii hasa katika biashara za bidhaa za matumizi ya kila siku yanaongezeka sana. Wafanya bishara wadogo wadogo  na wajasiriamali wanaongezeka sana na hii inaongeza mahitaji ya ujuzi mbali mbali. Kwa mahitaji haya tumetengeneza kozi hii kwajili ya kuwaelekeza washiriki mwanzo hadi mwisho namna ya kutengeneza sabuni za aina mbali mbali kwa matumizi ya kila siku nyumbani. Pia kozi hii itamuelekeza mshiriki namna ya kufanya biashara hii kwa njia nzuri ili aweze kupata faida. 

+ View more
Other related courses
About the instructor
  • 2 Reviews
  • 1 Students
  • 1 Courses
+ View more
Student feedback
4
Average rating
  • 0%
  • 50%
  • 0%
  • 0%
  • 50%
Reviews
  • Mon, 23-May-2022
  • Mon, 20-Jun-2022
    Sabuni ya maji(multpurpose soap) ni sabuni pendwa kwa watu wengi. Sabuni hii inatumika kwa makampuni ya usafi, majumbani, maofisini na mashuleni. Ni sabuni ambayo ukiitumia kufanyia usafi kwenye mazingira inaacha mazingira safi na yenye kunukia vizuri. Ni sabuni iliyotengenezwa kwa kutumia malighafi sahihi na vipimo sahihi. Ni sabuni iliyowekwa kwenye vifungashio na kuwekwa lebel zinazoonesha jina la bidhaa, matumizi, na muda wa kuharibika tangu itengenezwe
TSH 15000
Buy now
Includes:
  • 02:04:23 Hours On demand videos
  • 30 Lessons
  • Access on mobile and tv
  • Full lifetime access
  • Compare this course with other